Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
Wakuu, Azam TV wana kipindi kiitwacho 'Midundo ya Kale' na wanatumia band iitwayo Utalii band katika ukumbi wa Club Infinity. Tokea nikutane na kipindi hiki siku ya Jumamosi na marejeo Jumapili saa nane mchana wee acha tu huona muda wa saa nzima kama dakika moja tu.
Kinachonishangaza ni umahiri wa kipiga wimbo uleule kama wazee wetu walivoziimba bila hata ya chembe kupungua, hapo ndo najiuliza hawa wana'playback' nyimbo hizo au wanapiga 'live'?
Kama wanaziimba 'live' sina neno zuri la shukrani kuwapa ila Mwenyezi Mungu ndo mtoa vyote. Aksanteni sana. Raha mnoooooo.