Kipindi cha 'Kisa na Mkasa' EATV

Kipindi cha 'Kisa na Mkasa' EATV

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,653
hahaaa hivi kuna mtu anakijua hiki kipindi?
sijui nani alikibuni
kinachekesha mno sometimes

Dah
 
Natamani ningerudi utotoni nipate muda wa kuangalia TV.
 
Natamani ningerudi utotoni nipate muda wa kuangalia TV.
[emoji1] [emoji3] [emoji3] kwa hiyo wanaongalia CNN, Al-jazeera, BBC nao wamerudi utotoni?? Habari za local stations kama ITV, Channel 10, starTV, TV1 etc... Nao wamerudi utotoni?? Makala za kitanzania kuhusu utalii, kilimo, huduma za jamii..nao wamerudi utotoni!!??
 
Huenda jamaa mishemishe nyingi kwahiyo anakosa muda wa kuchek tv watoto huwa wanapata muda mwingi wa kuchek tv
 
Ni kopindi kizuri mana kinaelezea hali halisi za mitaani na uswahili kwa ujumla mambo kama kusutana,umbeya usio na tija,kukashifiana kuhusu uchawi,kuchukuliana wanawake ni vitu ambavyo vinatokea mara kwa mara..na jamaa anaeendesha hiki kipindi anajua jinsi ya kucheza na hisia za wahusika..japo jina la muendesha kipindi limenitoka kidogo
 
nilikiangalia kwa mara ya kwanza tu kilipoanza kuruka hewani ila maudhui yake niliona kama vile ya kipikwa, toka hapo sijakifuatilia tena.
 
Mkuu naona unakifuatilia sana hakina marudio kwa siku za weekend kuanzia saa 13:50 hivi nami nije nikiangalie???
Hahaha...kinarudiwa weekday nadhan sikumbuki vizuri.
 
Kuna ugomvi wa ajabu ajabu mitaani..!
 
Hahahhaa...sanaa,watu wanavyojiapiza na kutoa mapovu ugomvi mwingine hauna kichwa wala miguu.

Kina vituko uliona yule alitemewa maji na dada yake kufanyiwa tambiko baada ya ugomvi?
 
Back
Top Bottom