STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
jje's Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama Uzuri wako ndo unazidi nipa homa Haki ya nani mi nitakatia bima Mi sisikii napata raha Nitasubiri more honey Na sioni, baby karaha Long time nimedata nawe
.
[Pre-Chorus]
Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you
.
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa? Nikuite nani, darling? Tell me, kwako ikawe dawa La la lala lala Lala lala lala La la lala lala Lala lala lala
.
[Verse 2]
Kama zawadi nitakupa dunia, uitawale mama we (eiyeh) Mfano wa bahari juu mamii naelea nimejifia kwako we (eyeh) Ukamilishe uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu Ukawe amani ya moyo wangu milele eyei yei

[Bridge]
Mboni yangu ina jina lako wewe We jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe Nakudhamini mimi Mboni yangu ina jina lako wewe We jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe ehee

[Outro]
Aah aha ahh Mmh mhh Eiye eiyeh mmh mhh Yeah, I love you baby It’s your boy STUNTER!