St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,166
[Verse 1]
Nataka nitoke kwenye Jamii Forum
Niuze sura!
Niseme ninatoka na Nifah…
Kitandani kwisha na FaizaFoxy
Ama Jimena
Nilete matata mpaka kwa Heaven sent
Kwenye redio zote, mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba
Kwamba Miss Neddy anayangu mimba
Au niwatukane wote Makapuku
Kwa dharau na kuvimba
Mpaka yule anajiita asigwa!
Niseme miss chagga katetema
Akiniona anashindwa hata kuhema
Au cute b kanena ananitaka na Ibra87 atatemwa
Nataka nifanye sinema
Kwa alozaa na Mito, King'asti
Kiki ipi iko njema, au niende kwa Sky Eclat?
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
[Verse 2]
aaaaa aaaa eeee
Nasikia Lara1 mkali, wanasemaga Valentina asali
Dinazarde atakubali akimwage ki Nyani Ngabu chali
Ninatafakari, kichwani maswali
Nimtongoze atoto, akijua Kaboom si hatari?
Ee-hee, Preta, Badiebey pia hadi na Evelyn Salt
The Boss asije ninunia kwa brenda18 lawama
Jingalao, Lizabon Salami leaders nizushe pesa wamenipiga
Mshana jr na Mzizimkavu wasije niroga
Iyowee!
Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba
Nitoke Makapuku niende kwa Le mutuz. Yoooo
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
[Outro]
Nataka nifanye masekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Yaani Bongo nzima makelele
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Iih! Nikinukishe kinoma noma
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Iih! Macho kuvimba wataisoma
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
Ta ntira rara
Nataka nitoke kwenye Jamii Forum
Niuze sura!
Niseme ninatoka na Nifah…
Kitandani kwisha na FaizaFoxy
Ama Jimena
Nilete matata mpaka kwa Heaven sent
Kwenye redio zote, mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba
Kwamba Miss Neddy anayangu mimba
Au niwatukane wote Makapuku
Kwa dharau na kuvimba
Mpaka yule anajiita asigwa!
Niseme miss chagga katetema
Akiniona anashindwa hata kuhema
Au cute b kanena ananitaka na Ibra87 atatemwa
Nataka nifanye sinema
Kwa alozaa na Mito, King'asti
Kiki ipi iko njema, au niende kwa Sky Eclat?
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
[Verse 2]
aaaaa aaaa eeee
Nasikia Lara1 mkali, wanasemaga Valentina asali
Dinazarde atakubali akimwage ki Nyani Ngabu chali
Ninatafakari, kichwani maswali
Nimtongoze atoto, akijua Kaboom si hatari?
Ee-hee, Preta, Badiebey pia hadi na Evelyn Salt
The Boss asije ninunia kwa brenda18 lawama
Jingalao, Lizabon Salami leaders nizushe pesa wamenipiga
Mshana jr na Mzizimkavu wasije niroga
Iyowee!
Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba
Nitoke Makapuku niende kwa Le mutuz. Yoooo
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
[Outro]
Nataka nifanye masekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Yaani Bongo nzima makelele
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Iih! Nikinukishe kinoma noma
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Iih! Macho kuvimba wataisoma
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
Ta ntira rara