Nisaidieni jina la wimbo huu

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
5,374
5,013
Samaha wazee wenzangu hususani wapenzi wa Muziki, kuna wimbo nautafuta, uliimbwa na Sikende, wimbo unaanza kwa neno:
Ndugu na jamaa wameniweka kando, kuwa hunifai eeh ehee x2

Nilikuweka moyoni mwangu kama mziwanda ooh Aisha.
 
Back
Top Bottom