Kama hujalala sikia kitu hiki adhimu

Kama hujalala sikia kitu hiki adhimu

Hicho chombo cha mziki kilichotumika (violin)........sijui kiswahili chake...... kinaleta ladha nzuri sana kwenye muziki.
Ali Kiba kafungua macho ya bongo fleva
 
Mhhh kawaidaaaa sanaaaaaaaaaa[emoji34][emoji34]
 
Sema uchaguzi wa maneno kwa wasanii wetu ni bado sana hawachagui maneno yanayoishi kwenye nyimbo zao wanatumia maneno ya kawaida na kuyapa melody tu hii ni mpaka kwenye filamu hakuna uchaguzi wa maneno(diction) ili kueleweka hapo angalia movie kama troy au sikiliza wimbo kama hero wa enrique
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom