Prison Break imerudi?

Prison Break imerudi?

halikatwe

Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
48
Reaction score
29
Wadau naskia series kali ya Prison brake inatarajia au imeshaanza kuonyeshwa je mwenye ujuzi wa kujua ni channel gani imeanza kurusha hii series kali kuwahi kutokea nchini marekani
 
Hii series inaendelea but tetesi ni hadi mwakani am not sure kama imeanza kuoneshwa.
 
Prison break bado hadi December or early 2017, hiyo ni trela tu, director atatuonyesha jinsi Scolfiel alivyo pona kufa wakati anamtorosha Sara, kafungwa gereza lingine ambalo this time brother yake ndo anatakiwa amtoreshe gerezani, afu kuna issue nyingine baada ya Scolfiel kutoka gerezani anakuta Sara alishaolewa na jamaa mwingine na anaenjoy life coz aliamini Scolfiel alikufa wakati wakumtorosha. Patamu hapoooooo! stay tuned.
 
Back
Top Bottom