Ruby awaponda tena Clouds Media

Ruby awaponda tena Clouds Media

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,197
Ukijaribu kuhusisha Mgogoro uliopo sasa Kati ya Msanii Ruby na Clouds Media... Na Ukiusikiliza wimbo wake mpya unaoitwa Wale Wale n dhahiri utasema amewaponda Clouds Media.

Nimeusikiliza vzr wimbo..
Kuna Kitu Nimegundua kwenye wimbo huu. .
1. Mwanzoni Kabisa wimbo unapoanza nahisi kuna sauti ya Commando Jide inasema 'Man Walter the Heat Maker On the Beat'
2. Man Walter Hivi karibuni amekuwa Producer wa nyimbo Kadhaa za Jide.. Sasa na Huu wa Ruby pia ame produce yeye...Hapo ndipo nikahisi hii sauti ya Mwanzo ya wimbo wa ruby wenda itakuwa ya Commando.
3. Nahisi Kama uandishi huu wa wimbo n wa Barnaba.. Wenda Kaandikiwa na Barnaba.
4. Natamani kuona Remix ya Wimbo huu ukifanywa na Ruby & Jide..

Hayo n Mawazo yangu tu Jamani... Mjumbe Hauwawi.
 
Kwa hiyo Ruby kaamua kuitafuta haki ama anataka vita pamoja na kuutoa kasoro uongozi wake uliopita. Ila nijasiri tofauti na hawa wanaojiita wasomi
 
Ukijaribu kuhusisha Mgogoro uliopo sasa Kati ya Msanii Ruby na Clouds Media... Na Ukiusikiliza wimbo wake mpya unaoitwa Wale Wale n dhahiri utasema amewaponda Clouds Media.

Nimeusikiliza vzr wimbo..
Kuna Kitu Nimegundua kwenye wimbo huu. .
1. Mwanzoni Kabisa wimbo unapoanza nahisi kuna sauti ya Commando Jide inasema 'Man Walter the Heat Maker On the Beat'
2. Man Walter Hivi karibuni amekuwa Producer wa nyimbo Kadhaa za Jide.. Sasa na Huu wa Ruby pia ame produce yeye...Hapo ndipo nikahisi hii sauti ya Mwanzo ya wimbo wa ruby wenda itakuwa ya Commando.
3. Nahisi Kama uandishi huu wa wimbo n wa Barnaba.. Wenda Kaandikiwa na Barnaba.
4. Natamani kuona Remix ya Wimbo huu ukifanywa na Ruby & Jide..

Hayo n Mawazo yangu tu Jamani... Mjumbe Hauwawi.
Nilimuona barnaba akihojiiwa juzi akawasikitikia wale wanaotoka tht kwa matusi na vijembe
 
Back
Top Bottom