King'amuzi kipi affordable chenye channel za music nzuri

King'amuzi kipi affordable chenye channel za music nzuri

kambesha1

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
40
Reaction score
38
Mimi ni mpenzi mkubwa mno wa muziki wowote ule duniani yaani naweza kukesha hata mpaka asubuhi endapo nikikutana na channel za muzik hasa zile matata duniani sasa.nakosa.uamuz.sahihi kuhusu king'amuz kipi nitumie kuridhisha haja ya moyo wangu kwenye muziki hasa kua updated kwenye chat kubwa kubwa kama billboard chat, American top40 nanyingine kibao kichwan mwangu. Nakumbuka kipindi kuliwahi tokea king'amuz kizur bt kilifilisika kiliitwa Gsport sasa nishaurin wadau.
 
Back
Top Bottom