Shubey K. Platinum,
Usiwe mwoga tupia kitu hicho ktk Youtube uone ''ulimwengu-kama-kijiji-kimoja'' utaipokea vipi ngoma yako. Mambo ya kwenda ''Mdundo.com'' inaonesha ''bado'' hujiamini. Jiamini tupia kitu katika mtandao mkubwa kuliko wote duniani the Youtube.
Ila usisahau kufungua account yako Youtube na kuweka info unatoka Tanzania (siyo TZ), Studio gani wametayarisha kitu hicho, director/producer ni nani bila kusahau contact : insta, twit, fb n.k Jina naona linaweza kukubebe pia ''kiaina'' manake linafanana na Plat-Mwenyewe.