kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Wewe ni msanii mkubwa sana, na una heshima kubwa sana hapa Nchini. Hivi ulishindwa kumpata Mond umshirikishe? mpaka uchukue mtu anae mcopy Mond? Kuanzia Sauti mavazi mpaka uchezaji ni Mond mtupu kweli kaka? Kitu ulicho kifanya binafsi sikiafiki kabisa, tafadhali tuombe ladhi sisi vijana wenye rika lako na mashabiki wako.