Nite Club zipi ni nzuri Dar

Nite Club zipi ni nzuri Dar

Bulamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
14,222
Reaction score
13,506
Naulizia Nite Club nzuri Dar zinazotoa huduma nzuri ya mziki.
Nilizoea kwenda Bilicanas na Savana ila nimepewa taarifa hizi club zimefungwa.
 
Tanganyika Night Club au jina lingine Royal Night Club humo kuna hatari usipime
 
Hivi Bills ni kweli kwishney?!, mbona siamini amini!
 
Ha ha na club lapreimer[emoji15] [emoji15] Hivi pale Sio pazuri. Maana Watu wa mkoa tunasikia tu wakimsifia Mzee kinkii
 
Hivi Bills ni kweli kwishney?!, mbona siamini amini!
Fitna za kisiasa zimepelekea Club yetu pendwa ya ki historia kufungwa.Lakini Inshallah itarudi na nguvu mpya.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Duh ulkua unaenda savana pale posta kudaka watt wa cbe na ifm nn
Pale palikuwa patamu sana.Kulikuwa na bebi nyingi sana za chuo alafu unavuta kwa ulaini.Savanna was the best.
 
MICASA ipo riverside along mandele road ukimaliza mataa kuelekea bugurun
 
Back
Top Bottom