Baba Heri
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,537
- 2,294
Wadau hii tamthilia ilirushwa na TBC (wakati ule ikiitwa TVT) mwaka 2004. Nimejaribu kuitafuta mtandaoni kwa miaka mingi ila naipata ikiwa ktk lugha ya spanish, tafadhali kwa yeyote anayeweza kujua mahali pa kuipata ktk english anisaidie. Natanguliza shukrani.