Aje Remix Official Video

Ila litakua tangazo nyimbo bado
mimi pia nahisi hivyo, ila ukiingia youtube VEVO a/c ya kiba ndo kunahiyo na kasema n official music video ngoja tusubiri tuona make haiwezekani M.I asiwepo tene kwenye video
 
Kiba Haya madharau.
Kiba huu unaotuletea ni ujinga.
Kiba hukutakiwa kuwa na haraka ya single mpya
Kiba why unatuangusha?
Kiba umeamua kuwa shekisheki?

Au ngoja na mie niamni kama weenzangu kuwa hii imevujishwa sio yenyewe.
 
Nadhani hayo ni mazoezi kwa ajili ya show zake....mbona ametumia techno wagiftishe kushoot.....nadhani tusibir official release.
 
Hii video na audio ni mbaya sijaipenda, bora ile remix audio ya kwanza alioimba na MI ndo nzuri hapa kazingua kwa kweli
 
hizi ni hujuma za waziwazi za dimond kwa king haiwezekani na kwenye hii MI asitokee
Hauko serious Simbage!!nambie unatania?!
Diamond anahusikaje labda katika hili?!

Kuna ukaribu gani wa Diamond na M.I?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom