Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Kwa wale wanaofuatilia PB ya clouds FM mtakuwa mmesikia hili tukio la leo kati ya KP na Barbra Hassan. Inaonesha KP alikuwa anamtomasa huyu mama (labda kwa bahati mbaya au kwa kukusudia). Baada ya mguno wa Barbra ikafuata ya kauli ya kumtahadharisha KP ikisema "KP acha!" KP naye akajibu "pole, samahani!". Hii sasa haileti picha nzuri kwa wasikilizaji. Hii ni kutokana na jinsi nilivyoitafsiri Mimi!