Huyu dada ana nyimbo kali mpya inaitwa kismet, ila nimeshindwa kuiweka hapa.Tangia aanze kuimba bongo fleva akichanganya na staili nyingine amekuwa mkali.
Mwenye kuweza kuiweka hapa aiweke, tupate burudani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.