Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Maskini Utamjua tu kwa muandiko wake.Asante kwa kazi nzuri ya mtaalamu Neyo.
Bila wewe jamaa asingefikia mafanikio haya.
kumchukia mwenye mafanikio ni kujisababishia vidonda vya tumbo kusiko kwa lazimaAsante kwa kazi nzuri ya mtaalamu Neyo.
Bila wewe jamaa asingefikia mafanikio haya.
Ndio kutaka kusemaje?!kumchukia mwenye mafanikio ni kujisababishia vidonda vya tumbo kusiko kwa lazima
Masikini wanagubu hatariMaskini Utamjua tu kwa muandiko wake.
levo zao kama ziko sawa.Ndio kutaka kusemaje?!
Dimond kamfunika Neyo kwenye ile ngoma?!
ndio mana ikawa diamond ft neyoTo be honest bila uwepo wa neyo ngoma ilikuwa boko sana
Ndio maana akawepo sasa, acha unnecessary assumptions.To be honest bila uwepo wa neyo ngoma ilikuwa boko sana
Levo za nani na nani zilizo sawa?!levo zao kama ziko sawa.
Acha wivu..Asante kwa kazi nzuri ya mtaalamu Neyo.
Bila wewe jamaa asingefikia mafanikio haya.