Naanza kuamini ney wa mitego ni "devil worshiper"

Jaby'z

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
4,300
7,624
mistari aliyoimba kwenye wimbo wake mpya unaoitwa muda wetu
kuna line inasema "hivi mnamuabudu Mungu gani asiyewajibu kila siku,bora muwe wapagani ka vipi muabudu kuku..Mungu wangu yuko fasta ..nikitaka nyumba ananipa ...gari ananipa....."

MYTAKE: hata kama una pesa jambo la kukejeli imani za watu halikubaliki .....
kama umekosa cha kuimba kaa kimya sio kupromote ushetani


Wimbo wake huu hapa
 
Haya maisha ya vijana ya kutohoa kila kitu cha mataifa yaliyoendelea bila kuangalia context itawagharimu...ngoja BASATA wasikilize mistari watatuambia kama inafaa kwa mlaji au
 
WATANZANIA WANAKURUPUKA SANA,NA UKITAKA KUJUA WEWE MTAZAME MLETA AMEKURUPUKA KURUPUKA.....WEWE MWENZIO AMESEMA MUNGU WAKE ANAMJIBU WAKATI WOWOTE SASA KINACHOKUUMA NIN?AMETAMKA WAPI DEVIL NDO MUNGU WAKE?HUWA MNATAFUTA ATTENTION ZA AJABU SANA,MIND YOUR OWN BUSINESS,HATA KAMA AABUDU KICHWA....INAKUUMA NINI..?shame on you MLETA MADA
 
We mungu wako ana delay??sasa unamng'ang'ania wa nini?? Temana nae mfate Mungu wa elia yuko fasta kinyamaaaa
 
WATANZANIA ANAKURUPUKA SANA,NA UKITAKA KUJUA WEWE MTAZAME MLETA AMEKURUPUKA KURUPUKA.....WEWE MWENZIO AMESEMA MUNGU WAKE ANAMJIBU WAKATI WOWOTE SASA KINACHOKUUMA NIN?AMETAMKA WAPI DEVIL NDO MUNGU WAKE?HUWA MNATAFUTA ATTENTION ZA AJABU SANA,MIND YOUR OWN BUSINESS,HATA KAMA AABUDU KICHWA....INAKUUMA NINI..?shame on you MLETA MADA
shame on you too.
umeshindwa kujua kinachozungumziwa hapa??!
basi tuambie Mungu wenu ni yupi au huyu wa dar??
 
Sasa tatizo hapa liko wapi?

"hivi mnamuabudu Mungu gani asiyewajibu kila siku,bora muwe wapagani ka vipi muabudu kuku..Mungu wangu yuko fasta ..nikitaka nyumba ananipa ...gari ananipa....."
 
Bila shaka Nay na huyo Mungu wake wamejuana miaka ya hivi karibuni, maana huko nyuma alisimulia mwenyewe alivyokuwa akiishi maisha ya dhiki mpaka ikafikia kulala saloon kwa mshkaji baada ya kutimuliwa na step father wake achilia mbali alivyokataliwa ukweni na kumuacha demu wake wa kiarabu akiolewa. Hata huyu Mungu wake wa sasa ameshindwa kumrudisha Siwema
 
Bila shaka Nay na huyo Mungu wake wamejuana miaka ya hivi karibuni, maana huko nyuma alisimulia mwenyewe alivyokuwa akiishi maisha ya dhiki mpaka ikafikia kulala saloon kwa mshkaji baada ya kutimuliwa na step father wake achilia mbali alivyokataliwa ukweni na kumuacha demu wake wa kiarabu akiolewa. Hata huyu Mungu wake wa sasa ameshindwa kumrudisha Siwema
Kuna baadhi ya watu hampotezi kumbu kumbu


Haya mwenzenu kapata Mungu wa fasta
 
mungu wake yeye si wako ww,kumbuka mungu ni wa wote,atakupa ww afya njema maisha huumwi maradhi ya ajabu,unajikimu daily ugali nyama na pa kulala alhamndulilah,lakini atampa pesa kibao manji kisha akapatiwa skendo ya kuuza bwimbwi na heart atack juu.

kuna watu wana hela kiasi ambacho wakipata strock au cancer wanauliza hamna mtu mumpe hela achukue hii cancer mi nichukue uhai wake tu,lakini hiyo sayansi ni mungu tu anajua.

we na bangi zako na akili za u freeemason umesikiliza hiyo nyimbo ukanasa hapo tu.ushauri wangu sikiliza mashairi yoote kisha rudi hapa utupatie feedback.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom