Wapi naweza jifunza kupiga kinanda/piano

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Wadau nahitaji kujifunza kupiga kinanda/piano. Ni wapi kuna darasa lla hii kitu hapa jijini Dar?
 
Usimkatishe Tamaa Mkuu Mbona wapo wababu wanapiga kitu hio tu na wamejifunza juzi tu
 
Kama una nafasi naomba tembelea pale baraza la sanaa Tanzania BASATA eneo la Ilala Shariff Shamba, huwa wanaendesha kozi fupi za upigaji wa kinanda\piano kuanzia miezi mitatu mpaka sita kwa gharama nafuu kabisa..kuna wazee wataalamu sana pale katika mambo hayo! Usiache karama uliyonayo ipotee mkuu...kipaji kinalipa!
 
Back
Top Bottom