brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es
Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3
(zamani yalikuwa yakitumiwa na BBC).
Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph
Kusaga, station hiyo inaonekana kuwa ya muziki
peke yake na tayari imepewa sifa za kuwa
‘Africa’s Number 1 Hits Station.’ Ni wazi kuwa
inamilikiwa na kampuni hiyo ambayo hadi sasa
ina redio mbili, Clouds FM na Choice FM. Bado
haijajulikana itatumia jina gani.
Kwa sasa inapiga muziki peke yake.