Ali Kiba: Kazi to Kazi!

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Hii project imekamilika jana. Kila la heri Ali.
Screenshot_2017-02-22-18-29-35%7E2.jpg
 
Aisee huyu jamaa ni hatari, ni moto wa kuotea mbali, uzuri wake nyimbo yake hukaa muda mrefu bila kuchuja kama zile za wale wengine zinazokaa wiki moja, kwahiyo na uhakika hii ngoma itakua hit song hadi uchaguzi mkuu wa 2020 ufike
atundike gitaa tu huyo bushman
 

Attachments

  • 1487784649991.png
    1487784649991.png
    14.3 KB · Views: 38
Back
Top Bottom