Luvanga1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 2,026 1,706 Feb 24, 2017 #1 G wara waraaa kaachia ngoma inaitwa Go Low kamshirikisha Jux Enjoy good Music
Luvanga1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 2,026 1,706 Feb 24, 2017 Thread starter #2 Enjoy.. Attachments GNAKO%20AND%20JUX%20-%20GO%20LOW.mp3 3.4 MB · Views: 87
Luvanga1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 2,026 1,706 Feb 25, 2017 Thread starter #4 STUNTER said: wimbo wa ovyo sana Click to expand... bonge la nyimbo mkuu sema upe time utaupenda tu ni ngoma flani hivi ya kubeng najua unaelewa
STUNTER said: wimbo wa ovyo sana Click to expand... bonge la nyimbo mkuu sema upe time utaupenda tu ni ngoma flani hivi ya kubeng najua unaelewa
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,076 17,246 Feb 25, 2017 #5 Luvanga1 said: bonge la nyimbo mkuu sema upe time utaupenda tu ni ngoma flani hivi ya kubeng najua unaelewa Click to expand... Wee unachekesha kweli, inamaana hauoni kama beat wamecopy 90% kwenye wimbo wa ben pol -Phone???? Hebu nenda kazisikilize vizuri
Luvanga1 said: bonge la nyimbo mkuu sema upe time utaupenda tu ni ngoma flani hivi ya kubeng najua unaelewa Click to expand... Wee unachekesha kweli, inamaana hauoni kama beat wamecopy 90% kwenye wimbo wa ben pol -Phone???? Hebu nenda kazisikilize vizuri