Tuzae tuzae tuzae

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,874
3,306
TUZAE...TUZAE....TUZAE.

Kuna Article niliwahi kuandika inaitwa "Music's Dying Fall"...halafu nikaandika abt "Bongo Film industry"...hizi Article 2 nilielezea ni wapi tunakwama katika sanaa zote mbili "Filamu na muziki"

STEVE ft MAMA WEMA from DAFU RECORDS ambayo ni Audio Part I na Part II imefeli sokoni katika kuthibitisha kwamba bado wasanii wengi katika Vita dhidi ya Makonda hawapo Makini katika kazi.

IDEA ya Steve na huyu Mama ilikiwa moja "Kugonga nyundo Makonda azidi kuchafuka" na hadi wasanii hawa wanakwenda Studio tayari Single zilizotangulia kama (1) Masogange (2) Mali za Makonda(3)Vyeti.

hizo
1f446.png
zilifanikiwa walau ku-hit kidogo na kufeli,..sasa hii ilikuwa ndio Kali yao wanaileta sokoni kumaliza Mchezo,...akini lengo halikufikiwa kwani Wasanii hawa hawakuwa aware na mambo ya intelejensia...sasa wakati wao wanaingiza igizo Youtube...intelligency Unit wakaachia Reality show ya "TUZAE" ....hapa Mimi mbavu sina
1f61d.png


Yaani kwa Bahati mbaya "TUZAE Reality Show" inaumbua lile igizo,...hapa wanakiri kwamba Makonda anakomolewa....na moja ya njia ya kumkomoa ni kumsingizia Mahusiano na masogange, mule wamekiri....na ndio maana Ikaja Series ya audio, mpaka sasa mtandaoni kuna AUDIO takribani 4...Zote zinapiga mashambulizi kwa makonda kwa style tofauti.

Audio ya kwanza ni ya wema akimuhusisha Makonda na Masogange...akidai na nyumba kampangia Je imekuwaje Wema hakuanza kuropoka Kutakwa au kutongozwa kwake akaanza na masogange?...Je Mahusiano yalihamia kwake Ghafla wakati huu yupo selo?..au ni baada ya kufeli Plan A?....kwa mantiki hiyo Igizo la steve ft Mama hii ilikuwa ni Plan B...yaani kuhamisha Penzi la Youtube kutoka Masogange kwenda wema.

Kwa bahati mbaya sana Audio zote zitakuwa Detected from the Origin source...yaani baada ya kujirekodi hawa walisambaza...je walianzia watsapp...facebook, istagram au youtube?...ilianzia kwa nani mpaka kwa nani...kwenye hii chain Watanaswa wengi...na Uzuri kwenye TUZAE wamekiri wanamkomoa Makonda..na TID nae kama alivyosema kwenye Mic siku ile kwamba "Wapo watakaoniita snitch...I know, but am doing this for my son...My country and my life"...sasa Part II ya Igizo akapewa kesi ya Hongo milioni 2...teh!.

na wakawa busy wanakazia Wema na Bangi kuliko Unga...je wao ni Detectives?...Bangi ni soda?..hii ni kazi ya kubaini Bangi au unga ni ya polisi na sio yao...Polisi wanachunguza sio tu Consumption bali hata supply..akiwa Cleared hahusiki kesi itakwisha.

Igizo lina mistakes nyingi kiufundi sababu ...techinically utaona ktk part two namna walivyokuwa wanapokezana kuongea....walianza vizuri baadae wakaanza kujichanganya.....kila mtu hajui aingilie wapi...ni kama wanafanya rehesal hivi..they were not real, yule mwingine anajitia katoka usingizini..teh.

but All in all TUZAE REALITY SHOW ndio imeharibu mambo zaidi....maana hawakujiandaa kuigiza na hawakujua kama wapo Detected...they were real...Wameropoka Uongo wao wote...wamepanga mpaka uzazi.....Wamemsafisha Makonda humo humo bila kujua... wametoboa kuhusu Mahela ya kuhama chama humo humo,..je Nyumba ilikuwa Danguro la Mashoga?..wanawauza?..hivi tungejuaje kuhusu dola laki 2?...hapa Makonda Wamemkosa,..This Guy is very Smart

Mwisho wa Yote nitoe pole kwa steve Nyerer, kwamba ameingia kwenye mikono salama, hii ni Ajali kazini...Ajali katika Sanaa, ni kama kuwa Location halafu inaangukia stuli...Ni ajali ya Maigizo tu...Jumuiya ya Wasanii watambue kwamba huyu bwana kapata Ajali kazini na sasa kadakwa,..so aombwe na asaidiwe panapowezekana huku Sheria nayo ikichukua Mkondo wake...Na kwa hili Mama Wema naye lazima atadakwa.

Nashauri Watanzania ili Mjue utamu wa huu Mchezo mkiingia Youtube msianze kusikiliza TUZAE...kwa sababu inakuwa kama unasikiliza Majibu bila kujua Maswali,..anzeni na igizo Part 1 & 2..halafu Tuzae iumbue baadae.

Swali lingine la kujiuliza how comes Steve ataje majina ya Wazito wote wale bila woga!...there Must be something Behind...hii ni Confidence yenye Backup kubwa.....Jamani TUZAE tuongezeke...This is War!
[HASHTAG]#pio[/HASHTAG] pius
 
Back
Top Bottom