Msanii wa Bongo 'Movie' Irene Uwoya na Msanii mwanamuziki Nay wa Mitego wametangaza kuanzisha kanisa

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,419
804
Msanii wa Bongo 'Movie' Irene Uwoya na Msanii mwanamuziki Nay wa Mitego wametangaza kuanzisha kila mmoja kanisa lake. Irene Uwoya amesema atakuwa mchungaji wa kanisa lake hilo.
16864686_1366941230042892_1792833128482545783_n.png


Chanzo: Habari LEO
 
Wametumwa na Makonda ili wahamishe mawazo ya Watanzania kwenye hizo habari zao za hovyo badala ya kujadili Madawa ya kulevya na Elimu ya Makonda.

Wenye fikra timamu tumegundua hilo.
 
Usanii haujalipa, nyuch hazijalipa, sasa ni zamu ya kujaribu kwenye makanisa. Nadhani nawao wanatamani kuwa viongozi wa Malaika,
 
-Hawa ndio wanasababisha Tanzania ipate laana na Mungu kutufanya tuendelee kutawaliwa na CCM.

-Mungu anatamani tutoke hapa tulipo ila akitazama matendo yetu anasema HAPANA.
 
Wametumwa na Makonda ili wahamishe mawazo ya Watanzania kwenye hizo habari zao za hovyo badala ya kujadili Madawa ya kulevya na Elimu ya Makonda.

Wenye fikra timamu tumegundua hilo.
Sijui na wao wamechukua milioni ngapi.
 
Hawa wanautani ni mungu ila sasa cha ajabu kuna watu sijui ubongo wao upoje wataenda kwenye hayo makanisa
 
Anayetakiwa kuhukumu ni Mungu tu hivyo ndivyo kila siku wakristo husema,ila nashangaa leo wakristo wana wahukumu watu! kama hao mnawaona wanadhambi ndiyo maana hawafai kufanya hicho wanachotaka kufanya...Je ni nani mnaeona anafaa kufanya hayo?
 
Back
Top Bottom