ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
Give me your top ten list of reggae hits of all times
1. i know a place (w can carry on) - bob markey
2. put it on - weilers (bob marley, bun wailer, peter tosh)
3. concrete jungle - bob marley
4.stir it up - bob marley
5. whoever hate- senzo
6. idjidja- alfa blondy
7. Jah is love - senzo
9, ding dind lik lik- lucky dube
10. how will i know - luck dube
11. three little birds bob marley
12. reggaemilytis- peter tosh
13. zion gate - culture
14. come back darling - ub40
15. i give them - burning spear
16. is this love - bob marley
17. jah guide- senzo
18. remember me luck dube
19. i am sorry- senzo
20. jerusalem alfa blondy
Senzo alikuwa anakuja juu mbaya sana........wivu huu.....MHSRIP..........
kama ningeambiwa niiboreshe list yangu hapo juu ningeongeza wimbo "haile sellasie is the chapel" wa bob marley
alafu huwezi amini kwamba hakuna maelezo yoyote kuhusu senzo kwenye wikipedia na mitandao mingine ya habari. hii inatupa tabu sisi tunaotaka kujua history ya senzo kwa undani
ni ajabu eeh.......nimejaribu kutafuta kweli hakuna.....au ni wa zamani sana.....?....lakini mbona Lucky Dube yupo.......
Nakusalim Mkuu!mkuu muziki wa reggae ndio muziki pekee niupendao