Nashangaa hata kwenye Top 20 redion haipoNice one, nyombo nzuri sana
Kweli kabsa..!!Huyu jamaa anajua sana mziki
umegusa pengine huko.. sio King kibaHuyu anakaribia kumpita Diamond wa WCB
huo ni utofauti,msanii wa kwanza mwenye kithembe afrika mashariki na kati.tatizo lake ana kithembe....!!! sisi----thithi sasa----thatha nanasi---------nanathi..... paparazi----paparadhi
Arekebishe, akaze atamkalisha had yule nzi kwenye kidonda kwa wolpa...!!!
Ni mtanzania kweli huyu?Hivi "mote mote" ndo nini? Maana jamaa anasema "niacheni na mote mote"
Inabidi siku aulizwe kwenye interview maana si kwa kiswahili kile aisee!!!.Ni mtanzania kweli huyu?
We jamaa nyombo ndo nini?Nice one, nyombo nzuri sana
Alikwambia maana yake Uni tagWe jamaa nyombo ndo nini?