NANI ANATISHA: ADELE VS LANA DEL REY VS PALOMA FAITH ?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,033
64,842
Wasalaam ndugu zangu,
Hawa wanamama wana uwezo mkubwa sana kwenye muziki.
Wanajua kuandika, wana sauti nzuri zenye nguvu na Wanajua kuweka radha.
Kwasasababu wanaimba muziki wa aina moja (Soul, RnB , Pop na Indie Rock) nani mwenye uwezo mkubwa kuliko wote hawa kiasi cha kumfikia Aretha Franklin au Nina Simone?

Hizi ndizo nyimbo zao zilizofanya vizuri.

A: ADELE

1.Rolling in the deep

2.Hello

3. Set fire to the rain

B: PALOMA FAITH

1: Only love can hurt like this

2: Never tear us apart

3: Can't rely on you

C: LANA DEL REY

1:Born to die

2: Young and beautiful

3: Summer time sadness

CC: Red Giant , mtembea kwa miguu
 
Send my love to your new lover,
treat her better,
wanna let go all of our ghost,
we both know we ain't kids no more.....
Adele ni hatari.
 
Usimfananishe adele na vitu vya kijinga
Nlitaka kuandika kama ww

USHAURI WA BURE:
Mithali 17: 28 inasema "Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu"

Binafsi nina Uhakika hawa wasanii wengine hamuwafahamu kabisa, huenda ndiyo mara yenu ya kwanza kuwasikia. Jifunzeni kukosoa kitu mnachokifahamu, msikurupuke.
 
Mimi ni mpenzi wa mziki sana, so huwa naufuatulia kwa karibu mkuu. Kwangu adele she is the best, hapo umeweka nyimbo za adele za album iliyopita na hii ya sasa yenye hello, jaribu kusikiliza hizi nyimbo, send my love, one & only. Halafu pia jaribu kuangalia hello ilikaa namba moja kwenye billboard chat kwa muda gani ndo utajua paloma faith na lana dela rey hawafui dafu kwa adele
 
Nimezisikiliza sana nyimbo za Adele mkuu.
Nimemsikiliza pia Lana Del Rey kwa sana.
Kwenye live Performance Adele Struggles a bit with her vocal; Meanwhile Lana Del Rey has a very balanced vocal. Nakushauri tafuta Live performance zao halafu uje tena tuendelee.
 
USHAURI WA BURE:
Mithali 17: 28 inasema "Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu"

Binafsi nina Uhakika hawa wasanii wengine hamuwafahamu kabisa, huenda ndiyo mara yenu ya kwanza kuwasikia. Jifunzeni kukosoa kitu mnachokifahamu, msikurupuke.
Umeongea point sana mkuu,mimi pia namkubali sana adele,ila kwakuwa siwafahm hao wengine nimeshindwa kuchagua
 
Adele unamjua au unamsikia.
Adele kwa sasa ni kama Whitney Houston wa miaka ya nyuma.
R.I.P W.H

Mkuu, Adele is Extremely talented,
Lakini ukweli ni kwamba kumlinganisha na Whitney kwa kipindi hiki ni bado sana. Hajafikia kile kiwango: Lakini Lana Del Rey umemsikiliza ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom