Miongoni mwa movies ambazo nina mahaba nazo ni zile zenye mchanganyiko WA casts/washiriki waarabu na waamerica maana hapa huwa kuna feelings za hali ya juu kutokana na uhasama WA hizi pande...
Kwa wale ambao hamkuifuatilia prison break sawasawa na mnatamani kama mimi kuanza kuifuatilia na kuielewa season 5 vizuri, hii hapa summary ya season 1 mpaka 4 kwa maandishi.
SEASON 1:
In the...
Filamu zina raha yake bana.
Zipo filamu ambazo huwezi choka kuziangalia na ni filamu zilizowahi kuangaliwa na watu wengi sana pia kupenda. Kwa upande wangu napenda sana filamu kama Sarafina (hasa...
Fox sports, kombat sports hizo channel zipo kwenye azamtv, nauliza wanaonyeshaga UEFA champions league?? Au kuna channel yoyote ya azamtv inayoonyesha UEFA?
Anaejua anijuze
Nyonda wa Bw. James...James Jeddah akizungusha nyonga huku kibao cha yule mfalme wa miduara Afrika Mashariki na Kati Bw. Ali Tall almaaruf kama AT kikisikika.
Kwa nyonga hiyo sina shaka yoyote...
Kweli kila nyakati na mambo yake, nakumbuka michezo ya maigizo kipindi hicho ilivokuwa ina trend. Enzi za kaole kila jumamosi baada ya taarifa ya habari tu, watu macho kwenye TV, mambo hayo...
Naomba sana,Wachezaji wa Simba na viongozi mtuunge mkono ktk group letu la what's up la Umoja wetu ni ushindi wetu la mashabiki wa Simba kili baadhi ya mambo yawe yanatufikia na kuwafikia,lengo...
Uwa namsikiza saana huyo bwana, kwa upande wangu nakiri wazi Hakuna msanii mwenye kugusa hisia kwa namna taamu na ya kipekee kwa nyimbo zilizojaa ujumbe na ushawishi wa ajabu kama Tosh. Mtu pekee...
Wasanii hapa nchini either wamekosa elimu au wana elimu sana wamekosa maarifa au Life skills ya kazi zao.
Tutakubalina wote kwa pamoja kua wasanii wote kabla ya kutoa kazi zao midomo kwanza...