Samahani kwa nitakaowakosea!
Napendekeza Diamond apewe tuzo ya heshima ya kukieneza kiswahili kama sehemu ya utamaduni wetu, pili atambuliwe kama shujaa wa nchi katika kusaidia watu, amejitoa...
Naomba mnisaidie nyimbo ya mwana Hip Hop Zola D amemshirikisha D-Knob nyimbo inaitwa "Jana sio leo" mana nimeitafuta video yake youtube na audio yake bila mafanikio.Hii nyimbo ni ya zamani kidogo...
Huyu ommy jamani sio mtu mzuri baada ya braza kaka kuachia Eneka ghafla cheche imelizima jiji lote la Dar es salaam
uyu braza anaimba aisee
Ommy sio was sport sport
!
!
Nadhani wimbo unajieleza, na as long as unatwangwa kwenye radio stations na sijasikia lolote basi nalazimika kuamini una baraka zote za BASATA.
Nampa, nampa, nampa nampa Papa.
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU muumbaji wa mbingu na nchi kwa kutufanikisha tena kuiona siku ya leo.
Pili napenda kuwapa pole mashabiki "UCHWARA"wanaopenda kuwapa sifa za...
MWIMBAJI mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Dede, mwanamuziki wa Msondo ambaye pia aling’ara na...
Picha hapo juu ikionesha logo ya radio Pekee AFRIKA mashariki inayorusha MATANGAZO yake moja kwa moja YAANI Live huku ikisheheni vipi mbali mbali VYA utamaduni habari, sanaa na michezo...
Habari wakuu!
Tanzania tulikua na Kili Music Award ambazo zimekua na changamoto nyingi ila bado ni tunzo ambazo ziliwatia moyo sana wanamuziki wa hapa nyumbani.
Nimepata wazo sisi kama jumuiko...
Msanii anaitwa Ndela wimbo unaitwa Sijutii
Sasa kila nikiwasha redio nauskia unapigwa, ila kila nikiiutafta google haupo.
Ni wimbo mzuri sanaa huu, dogo katoka kwa hakika.
Mwenye nao autume...
Habari zenu mazee poleni na pilika za wiki nzima nachukua fursa hii kuwapongeza east africa tv/radio kwakutuletea burudani
Ni leo jumamosi show ni wakongwe kibao stejini nadhani ni siku nzuri...
Habari Ndugu zangu.
Naomba kusaidiwa jina la wimbo WA hawa jamaa wa kitambo kidogo kwenye game
Mmoja akifahamika kama Man dojo na mwingine Domo Kaya.
Baadhi ya mistari ni hii kwenye kiitikio...
Oii ...back in tiiiimee...mko poa ma-old school wenzangu nineamua kuanzisha thread hii mahususi kwa ajili ya vijana wa zamaani tuongelee kuhusu maisha ya zamani especially miziki ya nje "old...