Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Msaada mwenye wimbo wa king crazy GK alomshirikisha mwanadada Pauline Zongo unaitwa KOSA LANGU naomba autume hapa.... nmejarbu kuutafuta mara nyng nmeshindwa, nmegoogle nmecheki link nying sana...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Jaman kwa anayefuatilia beintheaa naimba anichek nahitaj niwasiliane naye 0767634570
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Wana jf mwenyekujua novel nzuri za kifundisha kama think big n.k naomba unitajie majina yake na niweze kununua ...ni hilo tu wana jf..
0 Reactions
77 Replies
12K Views
Wale wapenzi wa Series, especially EMPIRE... #HAKEEM #COOKIE #LUCIOUS etc.. SEASON two inatoka Tarehe 28.. Ngoja tusubili.... Binafsi namkubali sana Cookie... The way alivyo act...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Nikiwa nasikiliza redio clouds Fm hapa, nasikia mtangazaji wake akiisifia Arusha na kusema kuwa inashangaza sasa hivi imebadilika na mashabiki wake walikuwa wanawashangilia wasanii wanaoimba kama...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amesema amepiga marufuku mashindano ya miss Tanzania na Tuzo za muziki Amesema mashindano ya Miss Tanzania yamegubikwa na ubabaishaji...
5 Reactions
61 Replies
11K Views
Habari wadau, hivi nawezaje kuwapata Azam TV Call Center au Huduma kwa wateja? Nimeuliza hivyo kwa maana kila ninapo jaribu kuwapigia kwa namba zao zilizowekwa inachukua muda mrefu sana kusubiria...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi, Bila kupoteza muda, mimi sio mtazamaji wa movie. Tangu nimezaliwa hadi sasa, takribani miaka thelathini na kenda, sijawahi kuangalia movie hata moja mpaka ikaisha. Mara nyingi hua...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
[9/16, 11:27] [emoji146]: NICE GUY OF CENTURY SEHEMU YA 01 Ni katika supermarket moja alionekana Baba akiwa mke wake pamoja na mtoto wao mdogo wa mwisho katika uzao wao,mke alikuwa...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Are you Ready for Accepting the Challenge? The long-wanted Collab feature is available in Singplus app! We’re so glad to tell you the latest version of Sing+ comes with a brand-new “Collab” mode...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Loading post...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mimi binafsi ni mpenzi mkubwa wa miziki ya rumba hasa ya Kongo. Na kati ya wanamziki ambao kila siku ni sharti nisikilize na kufuatilia habari zao mpya ni: 1. Koffi Olomide 2. JB Mpiana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndege Aina Ya Boeng 737 ya Nchin Ujerumani ilio Tekwa Ka Miaka 40 Na Kundi La Kigaidi Lililo Julikana Kana RAF -Red Army Fraction Likidhaniwa n La Palestina.. Ndege Hio Imerejeshwa Jana Baada Ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau habari..... hebu nipeni maujuzi nipate epsode zote za ISIDINGO ambazo zipo kati ya ile inayooneshwa na ITV na ile inayooneshwa na SABC3 ili niendelee na hiyo ya SABC3 maana ratiba ya ITV ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mke wangu alianza tabia ya kuimba moyo sukuma damu... kila tukiwa na argument. Nikipiga simu yake inaimba same melody hadi ikanikera... Nikakumbuka kitabu cha walukaga the blacksmith pale...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
NICE GUY OF CENTURY SEHEMU YA 01 Ni katika supermarket moja alionekana Baba akiwa mke wake pamoja na mtoto wao mdogo wa mwisho katika uzao wao,mke alikuwa alilalamika kuwa hela hawana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za jumapili wakuu Naomba tupeane album tamu za riddim wengine wanaita sweet reggae kwangu mimi hizi hapa naziskza mara kwa mara 1/ Collie Buddz 2/Country bus riddim Tupieni nyingine basi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wish you all the best.......
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom