Clouds wataja sababu mji wa Arusha kutoswa kwenye tamasha la Fiesta kwa miaka 5

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Nikiwa nasikiliza redio clouds Fm hapa, nasikia mtangazaji wake akiisifia Arusha na kusema kuwa inashangaza sasa hivi imebadilika na mashabiki wake walikuwa wanawashangilia wasanii wanaoimba kama Barnaba na hawawarushii chupa wasanii wasiowapenda wawapo jukwaani

Hii inamaanisha kuwa waandaaji wa tamasha hilo ambao ni clouds media walikuwa wanajua watu wa Arusha wangefanya tukio kama hilo

Mara ya mwisho Fiesta kufanyika Arusha ni mwaka 2011 ambapo inasemekana kuwa wasanii ambao sio wa Arusha na wanaimba bongofleva walikuwa wakinyooshewa alama ya kidole cha kati walipokuwa jukwaani na kurushiwa chupa na kuzomewa

Baada ya kuonyesha mabadiliko haya, tamasha hili litakuwa likifanyika huko kila mwaka kama ilivyo miji mingine mikubwa
 
Arusha sio watu wa mchezo mchezo [HASHTAG]#hatushindwi[/HASHTAG]
 
Arusha masela mavi ujanja wa kizamani. Haya mambo ya kipuuzi uwezi ona Moro Dar au Tanga miji ya wajanja.
 
Juzi nmepita mitaa ya ngara mtoni nasikia singeli inaungurumishwa mubashara,nkabaki kushangaa
 
Back
Top Bottom