Moyo sukuma damu Kwishney kabisaa

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Mke wangu alianza tabia ya kuimba moyo sukuma damu... kila tukiwa na argument. Nikipiga simu yake inaimba same melody hadi ikanikera... Nikakumbuka kitabu cha walukaga the blacksmith pale alipoambiwa "when someone ask you for impossible, answer impossible"....
nami nikaamua kuweka ringtone yangu nyimbo ya safari sound "nilikupenda sana mfano wa maua ---

baada ya siku tatu nikasikia anaongea na shoga yake....leo hii wiki ya pili katoa na kaanza kuwa mnyenyekevu....

kweli dawa ya moto ni moto!!!!
 
Huo wimbo ,'nilikupenda sana mfano wa maua', ni mzuri sana na utadumu miaka 1000
 
Huo wimbo ,'nilikupenda sana mfano wa maua', ni mzuri sana na utadumu miaka 1000
 
mkuu asante kwa kunipa link ya huo wimbo wa nilikupenda sana

kama kuna mtu ana link ya wimbo wa baba paroko(jina halisi la wimbo silijui) naiomba tafadhali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom