Sijaachwa, tumeachana by mutual consent.pole sana .kumbe wanaume huwa mnaachwa?
dedication yangu kwa wanaume wote duniani ni hiihttps://www.youtube.com/watch?v=sgaNbGyQToI
ni kweli hata mwanafunzi wa primary anatamani kupata libaba .hataki wenzakeHujaalikwa?
Pole sana. Ila uzuri kadri Wanaume tunavyoongezeka umri na thamani yetu inapanda.
Ni kama mvinyo/wine, kadri unavyokaa muda mrefu ukali/thamani yake inapanda!
(najifariji tu) Waache waoane
siku ya harusi nitakusindikizaNimealikwa na nimetoa mchango.
ok maisha yataendelea tuSijaachwa, tumeachana by mutual consent.
ok maisha yataendelea tu
.......tujuzane please!
ndege wangu manati ya nini?Naona unacheza na fursa hapo!
Nimealikwa na nimetoa mchango.
Ndio uzuri wa kuachana kwa mutual consent.Duh!! Hapo ndipo utakapowashangaa Wanawake. Unaweza kuwepo ukumbini na akakukonyeza.
Waoaji wana moyo. Just imagine ngono ya siku hizi ilivyo 'rough'. Ameshapitia mahusiano
matano. Kote huko alikuwa anagaragazwa, kulamba 'koni' nk. Halafu siku ya harusi Bwana harusi
uko mbele unamwaga smile la nguvu ukifurahia tunda lako, huku pembeni wamekaa ma-x wa
Mkeo wakigonga cheers na kukumbuka 'good memory'!! Salaaaleh.
Disclaimer: Sijasema tu/msioe, ni mawazo tu nimetoa