LeBron James: Sitakubali Trump kutumia michezo kutugawanya

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,007
2,000
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa kutumia michezo ili kujaribu kugawanya watu.

Trump alinukuliwa akisema siku ya Ijummaa kwamba wachezaji wa ligi ya NFL ambao walishindwa kusimama wakati wa wimbo wa taifa walifaa kufutwa kazi ama kusimamishwa kwa mda.

Katika maandamano makuba wikendi iliopita , wachezaji walijibu kwa kupiga goti moja chini huku wengine wakiamua kusalia katika chumba cha maandilizi.

James aliwapongeza wachezaji hao na kusema: Ni raia wanaondesha taifa hili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 aliongezea: Sitamruhusu mtu mmoja licha ya uwezo wake kutumia michezo kama kigezo cha kutugawanya.

''Michezo ni swala la ajabu kwa kile inachoweza kumfanyia mtu yeyote. Licha ya maumbile, ukubwa, uzani, rangi , kabila ama dini watu hukutana na timu mbali na wachezaji kwa sababu ya michezo.Inawaleta watu pamoja''.

James ambaye anaichezea Cleveland Cavaliers na amewahi kushinda mataji matatu ya NBA alimfanyia kampeni Hillary Clinton, ambaye alikuwa mpinzani wa Trump wakati wa kinyang'anyiro cha urais cha mwaka 2016.

_98018393_a63d7e54-8d47-4045-aa7f-033c3d545f0a.png
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,144
2,000
wimbo wa taifa ni wa kuheshimu..... It doesn't matter Trump kafanya nini wao walitakiwa kuheshimu wimbo wa taifa then wapambane na huo unaguzi/raisi kwa namna nyingine,....

Ila NBA kitambo, hivi ligi inaanza lini?
 
kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
4,693
2,000
Hawa black americans siwaelewi naona chuki zao kwa Trump ni ubaguzi ila wao wakibaguliwa wanakasirika

Trump alimualika Curry na GSW white house Curry na K.D na majority wa team members walisema hawatoenda, Trump akatangaza mualiko umefutwa nashangaa huyo Trump alivyo ambuliaa matusi
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,607
2,000
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa kutumia michezo ili kujaribu kugawanya watu.

Trump alinukuliwa akisema siku ya Ijummaa kwamba wachezaji wa ligi ya NFL ambao walishindwa kusimama wakati wa wimbo wa taifa walifaa kufutwa kazi ama kusimamishwa kwa mda.

Katika maandamano makuba wikendi iliopita , wachezaji walijibu kwa kupiga goti moja chini huku wengine wakiamua kusalia katika chumba cha maandilizi.

James aliwapongeza wachezaji hao na kusema: Ni raia wanaondesha taifa hili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 aliongezea: Sitamruhusu mtu mmoja licha ya uwezo wake kutumia michezo kama kigezo cha kutugawanya.

''Michezo ni swala la ajabu kwa kile inachoweza kumfanyia mtu yeyote. Licha ya maumbile, ukubwa, uzani, rangi , kabila ama dini watu hukutana na timu mbali na wachezaji kwa sababu ya michezo.Inawaleta watu pamoja''.

James ambaye anaichezea Cleveland Cavaliers na amewahi kushinda mataji matatu ya NBA alimfanyia kampeni Hillary Clinton, ambaye alikuwa mpinzani wa Trump wakati wa kinyang'anyiro cha urais cha mwaka 2016.

View attachment 596069

Huyu le bron amekaa kama Sokwe la Gombe, Mwili mkubwa lkn akili haijai hata kwenye kisoda!
 
marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,496
2,000
Sijaona kosa la Trump, jitu likishakuwa jeusi ndio ivo tena akili hakuna! Respect for the national anthem and flag is something undebatable, I wonder even how they defend themselves doing very silly things.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom