Siangalii tena....#movie za kibongo*

Siangalii tena....#movie za kibongo*

Wakiigizia kijini wameshineee, tofauti na mazingira kabisaa.

Ndo tatizo la Bongo picha inaandaliwa ndani ya situ tatu tayari ipo hewani
 
Mbona wengine hata 3 kuziangalia hazifiki.. kwa kumuenzi Kanumba tulilazimika kuangalia.. zaidi ya hapo eeeeh ni vitukooooo hata hao washiriki wa kutengeneza sijui walisoma wapi ha ha haaa. Ubunifu anyau kabisaaaa...
 
Jambazi anaingia ndani kuvamia anavua viatu mlangoni,ni uwongo ulio tukuka
 
Kwa kweli hizi movie za kibongo...zinaboa jamani kha!

Eti jambazi kapigwa #mawe* kama mwizi alafu hata hatujaonyeshwa [HASHTAG]#majeraha[/HASHTAG]...
U

Eti bonge la [HASHTAG]#superstar[/HASHTAG]...lkn anamiliki nyumba ya mil 3.5.

Nimeivunjilia mbali Cd yenyewe..
Nimeona bola nitazame......
"Escape from Sobibo"
Angalau hawa [HASHTAG]#uwongo[/HASHTAG] wao una tija kidogo Ebo!
bongo movie walificha majeraha ya jambazi waliogopa watu wasije kuitisha press conference ya kuchangishana bule. Hahahaaaa
 
Bongo muvi ni maigizo tu, kwa hiyo ukiwa unaangalia tune akili yako kimaigizo maigizo Kama unaangalia katuni vile
 
Mbona wengine hata 3 kuziangalia hazifiki.. kwa kumuenzi Kanumba tulilazimika kuangalia.. zaidi ya hapo eeeeh ni vitukooooo hata hao washiriki wa kutengeneza sijui walisoma wapi ha ha haaa. Ubunifu anyau kabisaaaa...
Akijua tuhh kutumia video recoder, bas yeye tayari anajiita Director.
 
haaaa eti demu alikua na nywele kichwani kaingia ndani katoka kanyoa
 
mku unategemea jipya gani kama wataacha usanii na kuanza kujifanya wana siasa tena wa chama pedwa
 
Naomba kuuliza. Hivi viwanda vya bongo muvikuanzia waandishi wa stori, watengenezaji wa filamu hadi waigizaji wana taaluma ya hizo fani au huwa wanafanya tuu wakiamini wana vipaji vya kuzaliwa kwa kazi hizo
 
Bongo movie zinakela ukiangali asilimia kubwa mapenz tu khaaaaaa acha niangalie movies from Korea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom