Hii haikustahili kuwa hapa lakini kabla matokeo ya Big Brother Africa ambapo Mtanzania mwenzetu Richard amefanikiwa kuingia Fainali nadhani tujaribu kutoa mawazo kabla matokeo rasmi hayajatolewa...
Kwanza shikamoni wakubwa waliochini ya hapo habari zenu ndugu.
Kwa majina naitwa Aman Ibrahim mimi ni msanii na mwandishi pia wa nyimbo.
Kiukweli nina kipaji cha muziki japo naelewa kuwa wapo...
Hello, JF Members,
Kama wewe ni shabiki mkubwa na number one die hard fan wa Hilary Swank na Alan Ritchson basi hii movie ya Ordinary Angels (Malaika wa Kawaida) sio ya kukosa.
Ordinary Angels...
Wazee, mnakumbuka Horror moja ya kitambo 2002 inaitwa "28 Days Later" inamuhusu mwana mmoja ameamka hospital alikua kwenye coma karibia mwezi mzima anakuta Hospital hakuna ata mtu mmoja. Sio...
Wakuu,
Tafadhari sana usilike wala ku reply chochote katika uzi huu kwani ukireply au kulike utanikosesha milioni 10 niliyobeti kuwa uzi wangu ukikaa miaka mitatu hakuna aliyereply wala ku like...
Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio...
Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko...
Hello Wana JF.
Naombeni mniongezee list ya series Nzuri kulingana na series nilizobahatika kuangalia.
Series nilizowahi kuangalia ni Kama ifuatavyo
1.Tyrant
2.Ozark
3. 24
4. Queen of the south...
Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla...
Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima
Ntaweza kuupakua wapi!? msaada...
Anaitwa James Cameron kazaliwa Agosti 16,1954(70) nchini Canada sehem iitwayo Ontario.
Kwenye sanaa ambayo alianza kuifanya mwaka 1978 yeye ni mhariri, mwandishi na muongozaji wa filam na tamthlia...
Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa.
Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo .
Nikashtuka leo...
JINA LA SIMULIZI.......................LISA
WHATSAPP.....................0628924768
SPONSORED BY.. SIMULIZI ZA DULLY
SURA YA .......................................1&2
SURA YA 1
“Paah!” Kofi...
Jina langu ninaitwa Soka (sio jina halisi) na kwetu ni huko Moshi uchagani. Nilisoma kwa shida na kufanikiwa kupata elimu ya Sekondari na kisha kujiunga na mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.