Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Muigizaji maarufu wa Korea Kusini, Kim Soo Hyun, yuko katika hatari ya kupoteza zaidi ya dola milioni 13 baada ya madai kuibuka kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji Kim Sae...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Wadau, True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku, Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya...
11 Reactions
92 Replies
15K Views
Top 50 war movies. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998)...
7 Reactions
30 Replies
17K Views
Kama una bando la kutosha, anza mdogo mdogo. Futa ambazo tayari. Halloween Halloween 2 Halloween 3 Halloween 4 Halloween 5 Halloween: The Curse of Michael Myers Halloween H20 Halloween...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni Professional African painting artist, kuanzia Leo nitakua naleta Mfululizo wa Makala mbalimbali kuhusu fani hii ya Uchoraji, kuwafanya Watanzania waijue vyema Sanaa hii, ikibidi kuipa...
4 Reactions
19 Replies
6K Views
Niko underground ndani ya town sina papara/ full mkoba taratibu ndani ya msafara/ usilete mkwara ipo siku nitatawala/ wakati umefika nimekita kama namadala / kenge wengine wote mi nawaona mafala/...
1 Reactions
4 Replies
771 Views
Wasalaam wana JF. Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
NimesikilizaVibaovipyavya mwanamzikinguli R-Kelly aka ROBERT KELLY ameshusha nyimbo mpya na nzuri ila zote ni zakumtukuza Mungu na kujutia ila ni nzuri sana! Msikilize Hapa Toa Maoni yako ila mimi...
2 Reactions
14 Replies
738 Views
Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu, Mimi wangu ni huu👇
0 Reactions
18 Replies
942 Views
TZ MP3 MEDIA Download na kusikiliza nyimbo mpya za Bongoflava Audio pamoja na video zake ambazo zinaendelea kutoka kwa wasanii wakongwe na wapya pia hapa TZ MP3 MEDIA ndio mtandao unaokuletea...
0 Reactions
7 Replies
48K Views
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips...
1 Reactions
293 Replies
44K Views
Kwa wale wapenzi Wa movies zenye love story nzuri na za kusisimua tukutane hapa comment movie moja yenye kusisimua na kuvutia. Mimi kuna movie flani inaitwa forever my girl imenivutia sana story...
2 Reactions
49 Replies
14K Views
Great Thinkers Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania. 1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Njia Ya Hekaluni. Njia Ya Hekaluni{Wavunaji SDA Choir}
2 Reactions
11 Replies
448 Views
______________________ ▪️ Genre: Crime, Thriller, Action ▪️ Date: Nov 7th 2024 (Peacock Original Series) ▪️ Rate: 8.2/10 IMDb & 85% Rotten tomatoes ▪️ Parental Guidance: R (Restricted – Inafaa kwa...
5 Reactions
10 Replies
890 Views
Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili...
4 Reactions
9 Replies
830 Views
1. The Blacklist 2. Missing 3. Battle Creek 4. 24 5. Numb3rs 6. Bones 7. Quantico 8. The F.B.I 9. FBI:International 10. Profiler 11. Haven 12. City on a Hill 13. Unsub 14. Will Trent 15. Wiseguy...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom