Dj wa kipindi Cha Playlist UTV anazingua sana

Dj wa kipindi Cha Playlist UTV anazingua sana

Pyremethazine

New Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Aisee kuna sisi tunachelewa sana kurudi nyumbani hivyoo ata muda wa kukaa kuangalia Tv inakua shida. Sasa binafsi hua mara nyingi najikuta natazama taarifa ya habari ya UTV Ile ya Azam saa 6 marudio ya Ile ya saa 2. Baada ya taarifa ya habari Kuna kipindi kinafuata kinaitwa Playlist.Host wake nadhani ni somebody timoth chelula. Aisee Toka nimeanza kuangalia hiki kipindi Kila siku jamaa anaweka playlist Ile Ile nadhani mwezi now jamaa ata hajichoshi ana play anaenda kulala🤣🤣🤣 adi nimekariri Kila nyimbo
#azam tv burudani Kwa Wote
 
Back
Top Bottom