Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Kwa upande wangu Mimi ni "shaolin soccer" sijawahi ona movie yenye uhongo wa kitaalamu Kama Ile. Je ww kwa upande wako ni movie gani
HahahahaMuvi nikiiona ina uongo mwingi huwa naizima hata kabla haijafika mbali
M bongo movie ndo nazimaga kabisa ila za mambele navumiliaga kdgMuvi nikiiona ina uongo mwingi huwa naizima hata kabla haijafika mbali
KrishnaKrissssh 3