Kwanini season kukatishwa njiani

Kwanini season kukatishwa njiani

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,879
Reaction score
5,886
Kuna shida gani hapa kwanini haziishi na pesa nyingi imetumika ona mfano hizi

The Equalizer​

Into the badlands​

Revolution ​

Poppss house​

Lopez​

The strain​

Na nyingine nyingi​



Hii into the badlands haieleweki kabisa mwishoni nini kinatafutwa alafu watu waliokufa wanaonekana tena



INAMANA jamaa director wao hawajui ni beginner au ?
 
Ndiyo ndiyo na jamaa yako John/ Locke au Desmond mzee wa imagination.
Hii iliisha kitambo mzee baba. Ilikuwa na Season 6. Mimi niliicheki mwaka 2016 wakati ule kuna zile site za kudownload kwa kuandika index of lost season 4 labda, inakuletea episodes zote. Pita kwenye library za karibu na vyuo vikuu utaipata, au ingia telegram ujipakulie wew mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom