Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MWANETU NENDA SHULENI 1. Wazazi wako zamani, hatukuenda shuleni, Hapo kale tuamini, likuwa chache nchini, Tungelisoma jamani, mengi tungeyajueni, Mwanetu nenda shuleni, unoe wako ubongo. 2...
4 Reactions
6 Replies
425 Views
Habari wakuu.. Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
▪️ Genre: Action, Sci-Fi, Romance, horror ▪️ Date: 2025 (Apple TV+) ▪️ Rate: Bado 6.8/10 ▪️ Parental Guidance: R (Restricted) ▪️ Origin: USA ▪️ Time: 2hr/ 7min --- STORY BEHIND Katika...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
BURUDANI Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae. Usilete visingizio kuwa...
1 Reactions
2 Replies
350 Views
Kimbia, Polisi maskani wakivamia Wakikudandia, hakika hawatakuachia Wakukute umetulia, au kipisi unamalizia Au labda kuna mchizi tu ulikuja kumuulizia Wanapoingia, nakushauri kimbia Wakikudandia...
15 Reactions
42 Replies
7K Views
Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali. Historia kidogo. Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum wa kuwapa maua wana hawa wawili waliojitoa peke yao kuwasemea wananchi kupitia kazi zao za sanaa. Siyo jambo rahisi kwa msanii wa bongo kutunga wimbo wenye content ya kuisema...
14 Reactions
81 Replies
4K Views
Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, mimi huwa nikitafuta wimbo huwa siukosi lakini huu wimbo kwa kweli sijafanikiwa kuupata mpaka sasa. Nimekuja kwenu ambaye anao ninauomba coz ninaupenda sana. Ahsanteni.
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF? Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu. Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi...
4 Reactions
2 Replies
691 Views
Kama wewe ni mpenzi wa filamu mkongwe ebu weka neno kwa huyu mwamba hapa! Binafsi ni mhusika wangu namba moja kwa kumchukia.
4 Reactions
6 Replies
444 Views
Nimpole, mnyenyekevu, handsome, tajiri mwenye mke na watoto wa3 ana miliki club kubwa (Truth) na maarufu ndani ya NYC (New York City), but behind closed door ni drug dealer mkubwa mjini...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Movies/Sinema/Series nyingi pendwa na zenye kutamba unakuta zimegewa a.k.a ambazo hufanya watu wasijue jina halisia... Leo nataka watu mtaje a.k.a /majina ya utani ya hizo sinema wengine...
5 Reactions
84 Replies
3K Views
Bagaili ya mambo yote, lengo la mwandishi kuandika kisa hiki anisi siyo kuwapa daawa wasichana makahaba waliyoamua kutumia miili yao kama njia ya kujipatia kipato, la hasha! Bali ni kueleza kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwenye vibao kama hivyo vyenye ujumbe pamoja na melodies kali naziomba
1 Reactions
2 Replies
253 Views
Hii haikustahili kuwa hapa lakini kabla matokeo ya Big Brother Africa ambapo Mtanzania mwenzetu Richard amefanikiwa kuingia Fainali nadhani tujaribu kutoa mawazo kabla matokeo rasmi hayajatolewa...
2 Reactions
102 Replies
18K Views
Kwanza shikamoni wakubwa waliochini ya hapo habari zenu ndugu. Kwa majina naitwa Aman Ibrahim mimi ni msanii na mwandishi pia wa nyimbo. Kiukweli nina kipaji cha muziki japo naelewa kuwa wapo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello, JF Members, Kama wewe ni shabiki mkubwa na number one die hard fan wa Hilary Swank na Alan Ritchson basi hii movie ya Ordinary Angels (Malaika wa Kawaida) sio ya kukosa. Ordinary Angels...
8 Reactions
18 Replies
855 Views
Back
Top Bottom