Harmonize, Ibraah waitwa BASATA. Watakiwa kufika ofisini Jumatatu

Harmonize, Ibraah waitwa BASATA. Watakiwa kufika ofisini Jumatatu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,354
Reaction score
18,626
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12, 2025 kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo.

IMG_4819.jpeg

Taarifa hiyo ya BASATA inakuja kufuatia mvutano wa hadharani ulioshuhudiwa kati ya wasanii hao wawili, hali iliyozidi kupamba moto baada ya uongozi wa Konde Gang kutangaza kumsimamisha Ibraah kushiriki shughuli yoyote ya muziki chini ya lebo hiyo.

IMG_4817.jpeg
IMG_4818.jpeg

Hatua hii inalenga kuleta maelewano na kurejesha utulivu katika tasnia ya muziki nchini.
 
Huyo mayonize akitoka huko aende oysterbay polisi akaeleze kwanini alitaka kumpea kodi kijana wa watu chumbani, asilete Upididy bongo
 
Huyo ndiyo alitaka kiboga kwa mwajiriwa wake?
 
Back
Top Bottom