Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hizi movies huwa ni nzuri sana hasa zile zinazoelezea historia za nchi mbalimbali za Africa kama vile jinsi zilivyo struggle kupata uhuru au kuonyesha jinsi mataifa hayo yalivyokuwa governed...
2 Reactions
39 Replies
11K Views
Bondia muingereza antony joshua maarufu kama (AJ) anaesimama na rekodi yake ya kupigana mapambano 19,na kushinda yte 19 kwa k.o,aliejizolea umaarufu mkubwa kwnye ulimwengu wa boxing baada ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Usalama ni pale unapojilinda wewe na mali zako toa maoni yako kuhusiana na picha husika ya Usalama
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni jinsi gani umeifurahia siku ya kuzaliwa kwa kiongozi mashughuli Tanzania Dr. John Pombe Magufuli.? Swali ni kwamba inaumuhimu kwa watanzania kuienzi sherehe hii kila mwaka ifikapo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mwenye movie inayoitwa JERUSALEMA ANISAIDIE ,youtube ipo ilza inaongea kijerumani sasa mimi nataka ile orijino ya kiswahili Asanteni
0 Reactions
0 Replies
659 Views
najiuliza tatizo ni hatuna wakimbiaji wazuri au tatizo ni nini jamani it's real boaring kila marathoni kubwa unayoisikia duniani ni wakenya, Ethiopia. Eritrea mwakyembe angalia na upande huu wa...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
sisi ambao tumekuwepo miaka ya nyuma mika ile muzik wa zaile umetapakaa nchi na kwa ujumla bara zima la africa nadhan mnakumbuka kulivyokuwa na mpambano wa kukata na shoka kat ya kanda bongoman na...
3 Reactions
43 Replies
15K Views
Habari wana Jf, na Heri ya mwaka mpya 2014. Binafsi ni mpenzi sana wa muziki haswa nkiwa chumbani kwangu, ila kwa muda sasa nmezitafuta hizi nyimbo Nimekusamehe by Hamza Kalala na wa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
She knows how to sing
1 Reactions
1 Replies
724 Views
Mombasa kuzuri sana aisee
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Miaka ya 2000 kulikuwa na band Kali basi Inafrica walitisha na vibao kama Indege, Julie, Yalayala ya shababi. Nawakumbuka wanamuziki kama Bob Rudala, Bizman na wengineo walikuwa wakali sana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jf kuna forum nyingi zikihusisha vitu mbalimbali km burudani,siasa,ujasiriamali nk Kwa upande wangu naipenda sana forum ya Ujasiriamali coz nahis naendana nayo na ndio forum inayonipa vyote Je...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Jameni hawa vijana hawa!!! Yaani wale wasioelewa maneno ya huu wimbo watakua vitoto vya leo...... Eti enzi za sukari nguru, TV kwa jirani, Amita Bhachan...hehehe huu ubunifu dah
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mvua zilizonyesha kuanzia majuzi zimezua mambo mengi ndani ya jiji la dar ikiwemo wananchi kukosa makazi na hii ni kutokana na nyumba zao kusombwa na mafuriko. Pia mvua hizo zimesababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku zote nimekuwa nikidownloa moves/ series kwa kutumia uttorents. But kwa wiki mbili sasa kila nikijaribu kudownloa wananiletea link flan hivi ili nilipie. Je kuna mabadiliko yeyote wameyafanya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau mm ni mshabiki sana wa movie za series na miongoni mwao ni hii ya traveller na the event zimeishia wapi?zote zimekomea season 1 .Ambae anaweza kuinsaidia kupata muendelezo series hizo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Walio wengi wa wasichana wanakibilia peny kipato na kuwaacha wapendwa wao wakiyalaan mapenz. Na wao kwa bahat mbaya walioweng hawafanikiw kilichowapelek kule tatzo nini? Kufunguka ruksa ila xo mapovu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jean de Dieu Makiese a.k.a. Madiluu alizaliwa May 28, 1952 katika jiji la Léopoldville ambayo ndio Kinshasa ya leo na kufariki dunia siku kama ya leo yani August 11, 2007.Madilu alianza kuimba...
6 Reactions
25 Replies
16K Views
So who was/is your favorite artist and which album could you not live without? Do you think the Marsalis have been good or bad for jazz? Having just rediscovered a Miles Davis recording of "So...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…