Msaada: Jinsi ya kudownload movies kwa kutumia uttorents

Zagrab

Member
Jan 13, 2017
51
37
Siku zote nimekuwa nikidownloa moves/ series kwa kutumia uttorents. But kwa wiki mbili sasa kila nikijaribu kudownloa wananiletea link flan hivi ili nilipie. Je kuna mabadiliko yeyote wameyafanya. Wenzangu wazee wa kudownload movie mnatumia njia gani kudownoad kwa sasa?
 
pirate bay still ina fanya kaz , pia kuna torrent site ingne inaitwa Demonoid ipo fresh sana pia ukiona uviv bas download software moja inaitwa mediaget i uki search list inakuja una pakua kiulain bila shida
 
Siku zote nimekuwa nikidownloa moves/ series kwa kutumia uttorents. But kwa wiki mbili sasa kila nikijaribu kudownloa wananiletea link flan hivi ili nilipie. Je kuna mabadiliko yeyote wameyafanya. Wenzangu wazee wa kudownload movie mnatumia njia gani kudownoad kwa sasa?
yatakuwa matangazo tu, tumia yts kwa movie ni reliable

ingia hapa
The Official Home of YIFY Movies Torrent Download - YTS

kisha chagua movie unayoipenda halafu iclick itafunguka, utaona quality mbali mbali kuna 720p, 1080p, 3D etc chagua unayoipenda ila standard ni 720p, ukichagua itadownload kifile kidogo cha torrent, click hicho kifile movie yako itaanza kudownload kwenye utorrent.
 
Back
Top Bottom