Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu! Sijawahi kuandika chochote kuhusu huyu Dogo Aslay ila kwa huu wimbo wa natamba imebidi nimsifie kwa kazi nzuri, amekuwa akitoa nyimbo nzuri sana ingawa ni kwa mfululizo lakini namuelewa...
6 Reactions
23 Replies
11K Views
Uzi huu unalenga kukumbushana au kupeana update za western movies kama vile Magnificent seven Today it's me tomorrow it's you Hateful eight Django unchained 12 years a slave Unforgiven The...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu hali zenu.... nimejaribu kutafuta lyrics za huu wimbo nimekosa. Nimeamua kusikiliza na kuandika mwenyewe.... je hivi ni sahihi? 1 Naomba unisaidie kushare, naomba unisaidie kushare x 2 2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawonder nawonder kila rhyme kila stanza/ Napanga na kuranda kwenye home za kupanga/ Kupanga kupanda kila mbegu juu ya mwamba/ Na mbegu zinagonga mwamba kila nyanda/ Najitahidi kung'ara bila...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
tumefikia mahali kuna mashindano ya uzuri katika kila kitongoji za miji mikuu Tanzania? wakati Watanzania tunashindana kwa uzuri, wenzetu wana masindano ya ufundi/sayansi, lugha/insha/mashairi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Quote of the Day for Wednesday, October 18, 2017
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Wenzetu wanapo sherekea miaka 50 ya uhuru wao kisiasa, sio vibaya nasi tukisherehekea miaka 50 kwa kutengeneza playlist ya nyimbo bora zilizo vuma ndani ya miaka hii 50. List yangu ni:-...
2 Reactions
43 Replies
22K Views
Wana jukwaa Diamond yupo zake Zanzibar kufanya show jambo la kusikitisha wazenji wamesusa ,show ya diamond imekuwa na watu wachache na mapengo kila mahala Wazenji huu si uungwana hata kama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila mtu kuna mchezo ambao aliupenda enzi za utoto, na kama hakucheza michezo utotoni basi wewe atakua na kasoro. kiukweli mimi ukiacha mchezo wa kombolela mchecho mwingne nilioupenda ni huu:
0 Reactions
5 Replies
5K Views
watambue awa wasanii enzi izo wakiwa wadogo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataman kujua vipindi mbalimbali vya television za Tanzania vilivyobora kwa nyakat mbalimbali ili nikipta wasaa wa kukaa mbele ya tv nipate kuona madini ya maana Nasema hili coz kuna baadhi ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu Natafuta wimbo wa OTTU JAZZ BAND_PANAPOTOKEA VITA. Ameimba Tx MOSHI. Wimbo unazungumzia Madhara ya vita huku zikitajwa baadhi ya nchi zilizokuwa na machafuko wakati huo Liberia na Somalia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kile kibao cha Despacito kilichoachiwa na Luis Fonsi,kimevuja record ya dunia kwa kuangaliwa na watu bilioni nne ndani ya miezi tisa,Diamond na wewe ufuate nyayo.Bilioni nne tena VEVO.
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Wote hawa ni wachambuzi wa muziki wa dance hapa nchini, Adamu akiwa kitu cha City FM na Zomboko akiwa ITV na Redio one. Sisi wapenzi wa dance naomba tupige kura nani zaidi? Mimi kura yangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WHY MEN ARE CALLED "GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?.. Why is the newly wedded man called groom and the woman called bride? A friend of mine got tired of his wife just about six...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenye hii singeli... sijajua wimbo unaitwaje ila nausikia tu naipenda simba mshabiki wa damu au naipenda yanga shabiki wa damu, mwenye huu mzigo naomba anitumie, na kama ni nyimbo mbili tofaut...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habar wakuu Hii ni kwa wale wanaopenda kusikiliza mziki aina ya reggae Ebu tupia ngoma yoyote ya reggae riddim ukiisikilozaga mwili unasisimka Mm ni THRE IS A WAY by Tarrus riley Tupia ngoma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wakuu, ninalo wazo, kupitia uzi huu na jukwaa hili wale wenye vipaji vya kuigiza na kutengeneza move yaani kutunga story tukutane hapa tuone tutashirikiana vipi, mimi nilikuwa...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
a
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Back
Top Bottom