IDDI M CHAMSHAMA
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 168
- 39
Wadau mm ni mshabiki sana wa movie za series na miongoni mwao ni hii ya traveller na the event zimeishia wapi?zote zimekomea season 1 .Ambae anaweza kuinsaidia kupata muendelezo series hizo tuwasiliane,nawaomba sana ili nikate kiu yng