Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Swalama, Miaka nenda miaka rudi nje ya jengo la Simba lililopo msimbazi kariakoo halikosi vigenge vikijadili Simba yao ilokosa makombe asubuhi asubuhi,Niwaulize wana simba hamna kazi za kufanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimevutiwa na siasa za Kenya japo kwa hili...mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya CECAFA yanayoanza leo nchini Kenya ni bwana Odinga mpinzani wa Kenyatta katika uchaguzi uliopita!je...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa... Binafsi nimefurahi sana Mohamed Dweji (MO) kukabidhiwa klabu ya Simba. Hakika hii ni habari njema kwa wana Msimbazi. Natumaini umoja na mshikamano wa viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Yanga inakuja kwa kasi ya Umeme au ni uongo?
0 Reactions
6 Replies
929 Views
Mmarekan huyu akizingumza kiswahili lazima utafurahi
1 Reactions
1 Replies
864 Views
Lugha za kigeni wenyewe mnaita 'Branding' lakini kumbe hizi Brand pia zina gharama zake kuzi-mantain kama ambavyo huyu kijana wa 'Shilawadu' Soudy Brown anavyohakikisha brand yake haiteteleki...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
TBC 2 LIVE: Tamasha linaendelea, kwa kweli limefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana japo idara ya usalama imepwaya kiasi hasa katika uthibiti wa wapi wasimame na wapi wasisimame: 21:00 Update.. Paul...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wiki ijayo nitarajia kuwa na safari kwenda nyumbani Musoma mkoani Mara.Kutoka Dar hadi Musoma si mchezo na nitalazimika kupumzika Mwanza kwa siku moja.Kwa wakazi wa Mwanza ni sehemu gani nzuri kwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
B
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I kindly ask where I can find film, documentary or TV commercial auditions. I am ready to perform. Looking forward for your cooperation. Thank you.
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Natumai mkoa poa.naomba kujulishwa kwa anaefahamu,Kama mtu anataka kutoa singo anatakiwa kuwa na pesa kiasi gani? Pili studio ipi hapa dar ambayo ni Bora kabisa ambayo inaweza kumtoa underground...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Habarini za mapumziko wadau. Kabla sijaenda mbali napenda kumpongeza darassa kwa ngoma kali..a hit song ambayo alitoa kipindi kama mwaka mmoja ivi ambao umepita lakini adi saiv mtu akisikiliza...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Salamareko..! Its true kama umeusikiliza huu wimbo wa Kala Jeremiah basi utakubaliana na mm kua ndo wimbo bora wa mwisho wa mwaka..! Production ya Beat ipo vizuri sana pia Melody iko nzuri sana...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla. Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS' kitabu hiki...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Kama unataka pesa, nenda kwa manji Hapa utapata mashine tuuu...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Abdukiba katoa wimbo mpya akimshirikisha kaka yake Alikiba. Wimbo huo unaenda kwa jina la Single. Tazama
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Habar wanaJF, Nataka tujuzane vipindi vipendavyo kusikilizwa sana. Binafsi ni: 1. Jahazi - Clouds Fm (4pm - 7pm) Muendelezo Tafadhali!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau wa simulizi natumaini hamjambo, Jisomee simulizi za kiswahili na kiingereza hapa www.fictionandpoetry.us
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Ninajiuliza sana kuwa Tanzania ina mpango gani wa kuwaendeleza hawa waigizaji wa Tasnia ya filamu? Lah kama si Tanzania basi je viongozi au mameneja wa Tasnia hii wana mpango...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom