msaada wakuu..nyimbo ya aidama yoyoyo

msaada wakuu..nyimbo ya aidama yoyoyo

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,456
kuna huu wimbo unaitwa aidama
"aidama yoyo yoooyoo aidama
aidama yoyooo yoooh aidama
wawili wakipendana,aidama yabidi wafunge ndoa aidama
"
sikumbuki niliusikia wapi ila niliupendasa sana...mwenye nao anipasaidie wakuu
 
Aidama yoyoyo
Aidama aidama yoyoyo aidama
Alipokufa baba mzee karume
Tanzania sikitiko
Aidama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom