Kumbukumbu;Ali Kiba ndiye aliyeutambulisha Bongo Fleva rasmi Marekani

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
883
1,000
Screenshot_20171215-233235.png
Screenshot_20171215-233259.png
Screenshot_20171215-233320.png
hio ni katika progect ya one8..
Ashukuriwe huyu braza na avikwe taji analostahili..
 

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
861
500
Alitambulisha huu muziki Marekani?
How??
Project ya One 8 ilikuwa ya kampuni fulani ya simu na ilikuwa imelenga nchi za kiafrika(kwa ufahamu wangu).
Au kwasababu ilimshirikisha R. Kelly
 

Backdoor

JF-Expert Member
May 23, 2017
238
500
Picha tatu na vimistari vitatu vya kumshukuru Ali kiba kutambulisha bongo fleva marekani..
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,017
2,000
MANENO YA WAFA MAJI...PROJECT YA ONE8 WAO WAKAGEUZA NI WIMBO RASMI.SIKUMBUKI KAMA HUO WIMBO ULIWAHI KUIMBWA AU KUINGIA KATIKA CHATI YOYOTE ILE....
Ule wimbo ulikuwa kama kampeni fulani hivyi.Acheni upotoshaji
 

gwangaeto

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
420
500
Ile nafasi angeitumia vizuri angekuwa mbali tatizo anarembua rembua tu ka binti wa kizaramo, chance kama iyo angepata mondi wangemkoma
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom