gwangaeto JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 653 Reaction score 763 Dec 15, 2017 #1 Kama mkulu alitangaza, hakuna kukaa uchi, sasa kuna majamaa apa azam two sijui yako ukumbi gani yanatunisha kila kiungo, adi makalio. Vipi ili katazo haliwahusu hawa, au ni la kina gigi mane tu.
Kama mkulu alitangaza, hakuna kukaa uchi, sasa kuna majamaa apa azam two sijui yako ukumbi gani yanatunisha kila kiungo, adi makalio. Vipi ili katazo haliwahusu hawa, au ni la kina gigi mane tu.
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,152 Dec 15, 2017 #2 Litakuwa linawahusu pia maana mashine zao zinaji......
kingunge wa jf JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 466 Reaction score 467 Dec 15, 2017 #3 Watoto tumelala wewe Acha waendelee
gwangaeto JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 653 Reaction score 763 Dec 16, 2017 Thread starter #4 kingunge wa jf said: Watoto tumelala wewe Acha waendelee Click to expand... Hahaa kuna dingi mmoja pale ametunisha kalio, thinki na familia yake wanashangilia nyimbani, baba kashindaaaa
kingunge wa jf said: Watoto tumelala wewe Acha waendelee Click to expand... Hahaa kuna dingi mmoja pale ametunisha kalio, thinki na familia yake wanashangilia nyimbani, baba kashindaaaa